Paroles de la chanson Kama Wote par ABBAH
(Sounds by Abbah)
We Diana, nini naelewa
Yote sawa basi tulia
Naumuia mama
Sema kama kweli wanipenda
Mimi niwe na wewe tu
Baby mimi nakupenda
Nile nile nile nawe tu
Sema kama kweli wanipenda
Mimi niwe na wewe tu
Baby mimi nakupenda
Nile nile nile nawe tu
Diana mimi na wewe
Mpaka kwenye kilele
Baby tuishi milele
Aah aah..